Psalms 38:8

8 aNimedhoofika na kupondwa kabisa,
nasononeka kwa maumivu makuu ya moyoni.
Copyright information for SwhNEN